send link to app

Kasuku Tanzania - Buy & Sell


4.6 ( 7296 ratings )
Estilo de vida Compras
Developer: WickerLabs
Livre

Kasuku ni jukwaa jipya ambalo linarahisisha kununua na kuuza bidhaa mtandaoni kwa haraka na urahisi. Iwe unatafuta kuuza au kununua nguo, vifaa vya elektroniki au fanicha Kasuku ina bidhaa na huduma tofauti.

Tumehakikisha kuwa kuongeza bidhaa kwenye jukwaa kunahitaji juhudi ndogo sana, ambayo hurahisisha kuorodhesha bidhaa nyingi kwa haraka. Hii ni muhimu sana kwa watu wanaoendesha biashara kwani wanaweza kukosa muda mwingi wa kuuza bidhaa mtandaoni.

Baadhi ya vitu muhimu ni pamoja na:

- Utafutaji na ugunduzi rahisi wa bidhaa.

- Uwepo wa bidhaa tofauti mfano nguo, vifaa vya elektroniki, magari, nyumba, simu na zaidi.

- Ni rahisi kuorodhesha bidhaa nyingi, hata kwa wale wanaoendesha biashara na wana muda mdogo.

- Fikia wanunuzi wanaofaa kwa bidhaa zako na ufanye mchakato wa kuuza bila shida.

- Hauna haja ya kujiunga au kufungua account iliuweze kuitumia Kasuku.

Muhimu Kujua:
Kama una biashara au huduma unayotoa, pandisha post ili Kasuku ionyeshe bidhaa zako kwa wateja. Tutakusaidia kufikia wanunuzi wanaofaa wa bidhaa zako. Kwenye Kasuku, kila mtu huona mpangilio tofauti wa bidhaa kutokana na aina ya bidhaa anazotafuta au kuperuzi.

Hii inasaidia wateja kuona bidhaa nyingi zaidi na wauzaji kufikia wateja wengi zaidi.

Usisahau Kumualika rafiki yako.


** ENGLISH **

Kasuku is a new platform that makes it easy to buy and sell products online quickly and easily. Whether you are looking to sell or buy clothing, electronics, or furniture. Kasuku has a variety of products and services.

We have ensured that adding products to the platform requires very little effort, which makes it easy to list many products quickly. This is very important for people running a business as they may not have much time to advertise their services or products online.

Some important features include:

- Easy product search and discovery.

- The presence of different products such as clothes, electronics, cars, houses, phones, and more.

- Its easy to list multiple products, even for those running a business with limited time.

- Reach the right buyers for your products and make the selling process hassle-free.

- You dont need to join or open an account to be able to use Kasuku its free to use.

We will help you reach the right buyers for your products.

Important to Know:
If you have a business or a service you offer, upload a post so that Kasuku can show your products to more users. We will help you reach the right buyers for your products. On Kasuku, everyone sees a different arrangement of products based on the type of products they are looking for or browsing.

This helps customers see more products and sellers reach more customers who are looking for your service or product.

Dont forget to Invite your friend.